AGNES MASOGANGE AWACHAMBA MASTAA WA MOVIE

MWANANADADA tishio katika kupamba video za wanamuziki mbalimbali nchini Agnes Gerald maarufu kama Agnes Masogange ameweka wazi kuchukizwa na tabia ya mastaa wa kike wa bongo muvie kuwadharau wasichana 'wanaouza sura' (video Queen).

Mwanadada huyo mwenye umbo la utata, ambaye kuzitendea haki fedha anazolipwa kwa 'kuuza sura' alisema kwamba tabia hiyo iliyokithiri imekuwa ikonekana mara nyingi wanapokutana katika mikusanyiko mbalimbali ikiwemo kwenye kumbi za starehe ambapo mastaa wa bongo movie huwaona video Queen hao kuwa si lolote.

 "nawashangaa sana na hizi tabia zao kwani kazi ni kazi tu kama ilivyokwao katika kuigiza, kikubwa ni kila mtu anakula kwa jasho lake...nashangaa wanavyotunyanyapaa tunapokutana klabu,"alisema.

Posted by Bigie on 5:50 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.