Spika Makinda akutana na Ujumbe Maalum kutoka Bunge la Sudani Kusini Ofisini kwake leo

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Bunge la Sudan Kusini ulipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Spika wa Bunge la Sudan kusini Mhe. James Wani Igga, ambaye ndiye aliongoza ujumbe huo, Mhe, Henry Dilah Odwao , Mwenyekiti wa kamati ya Nishati na Madini, Mhe. Mary atong Bak , Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Mambo ya Habari na Utamaduni, Mhe. Dk. Kuong Dak Wie na Mhe. Prof. George Bureng Nyumbe wote kutoka Bunge la Sudan Kusini.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimuonesha zawadi ya saa ya ukutani yenye picha ya jingo la Bunge Spika wa Bunge la Sudan kusini Mhe. James Wani Igga, wakati ujumbe wa Wabunge kutoka Sudan Kusini wakiongozwa na Spika wao walipomtembelea Spika Makinda Ofisini kwake Dar es salaam leo.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkabidhi zawadi ya saa ya ukutani yenye picha ya jengo la Bunge Spika wa Bunge la Sudan kusini Mhe. James Wani Igga, wakati ujumbe wa Wabunge kutoka Sudan Kusini wakiongozwa na Spika wao walipomtembelea Spika Makinda Ofisini kwake Dar es salaam leo. Wengine katika Picha na wabunge kutoka Bunge la Sudan waliomtembelea Mhe. Spika leo.

Posted by Bigie on 5:48 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.