Airtel yafanya promosheni ya huduma ya ‘Jiunge na Supa 5’ kwa kishindo Mkoani Dodoma. Pigia *149*99#
habari za kitaifa 3:24 AM

Wasanii wa kikundi cha Kinoko kutoka Dar es Salaam wakilishambulia jukwaa wakati wa promosheni ya Airtel Jiunge na Supa 5 katika viwanja vya Jamhuri, Mkoani Dodoma jana. Uzinduzi rasmi ulifanyika jijini Dar
es Salaam hivi karibuni.

Baadhi ya wakazi wa Dodoma wakihamia Airtel wakati wa promosheni ya Airtel Jiunge na Supa 5 mkoani humo jana.

Mkaazi wa Dodoma, Queen Jackson akishindana kucheza taarab wakati wa promosheni ya Airtel Jiunge na Supa 5 mkoani humo jana.

: Zawadi mbalimbali zikiwemo simu za mkononi zilitolewa ili kufanya promosheni hiyo iwe ya aina yake.

Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria promosheni ya Airtel Jiunge na Supa 5 Mkoani Dodoma jana.
