Victoria Foundation yatoa msaada wa baiskeli kwa walemavu mkoani geita
habari za kitaifa 2:14 AM

Mwenyekiti wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Victoria Foundation,Vicky Kamata (kushoto) akisalimiana na mtoto mwenye ulemavu wa mguu kwa ambao alizaliwa nao miaka 15 iliyopita alietambulikwa kwa jina moja la Ambar ambaye ni mkazi wa Nyamagana,Mkoani Geita.

Mwenyekiti wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Victoria Foundation,Vicky Kamata (wa pili kulia) akisalimiana na baadhi ya watu wenye ulemavu ambao ni wakazi wa Nyamagana,Mkoani Geita wakati alipofika kutoa msaada wa Baiskeli za walemavu.

baadhi ya watu wenye ulemavu wakiwa wamepanda baiskeli zao baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Victoria Foundation,Vicky Kamata (hayupo pichani).

