ANUSURIKA KUAWA NA MAMBA MTO RUFIJI
Posted by Bigie
habari za kitaifa
6:19 PM
Mwanamke Mkazi wa Rufiji, Khadija Boma (40), kifanyiwa tiba na Muuguzi Geraidina Amani juzi katika wodi 2 ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Dar es Salaam, baada ya kujeruhiwa mguu alipokuwa akipambana na Mamba katika Mto Kipoka juzi, Rufiji. Mama huyo ambaye amekatwa mguu wa kulia aliong'atwa na Mamba, kabla ya kuokolewa na wananchi, alipambana naye huku akiwa na mtoto mgongon

Posted by Bigie
on 6:19 PM.
Filed under
habari za kitaifa
.
You can follow any responses to this entry through the
RSS 2.0