CHRIS BROWN KAMDISS RIHANNA TENA?

 
Kama na wewe ulijiuliza hivyo jibu lake hapo ni No.
Stori zilizoenea kwenye internet sasa hivi ni kuhusu Chris Brown kumdiss Rihanna tena baada ya kutoa track ya freestyle version of Kanye West’s recent track.

Kwenye hiyo track kuna maneno yanayomdiss mrembo mmoja ambae anatajwa sana na watu walioisikia kuwa ni Rihanna.



.
Japokua watu wengi wamefungua midomo na kusema kwamba amelengwa Rihanna ambae alikua mpenzi wake CB zamani, Brown mwenyewe aliandika twitter kwamba hajamtaja yeyote kwenye hiyo track, track ambayo nimeiweka hapo chini unaweza kuisikiliza.


Hii ishu imetokea siku kadhaa baada ya wawili hao kufanya kolabo za pamoja kama ishara pia ya kuondoa sumu ya ugomvi wao uliowafanya kutoongea wala kuwasiliana kwa muda mrefu.

.

Posted by Bigie on 6:26 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.