Waziri Maige akabidhi ofisi kwa Waziri Kaghasheki jijini Dar

 Waziri wa Maliasili na Utalii,Mh. Khamis Kaghasheki (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) asubuhi ya jana,muda mfupi baada ya kukabidhiwa Ofisi na Waziri wa awali wa Wizara hiyo,Mh. Ezekiel Maige (kushoto).Kulia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mh. Lazaro Nyarandu.
 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mh. Lazaro Nyarandu akizungumza na Waandishi wa habari,muda mfupi baada ya kukabidhiwa Ofisi yao Mpya.Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Mh. Khamis Kaghasheki.
 Waziri wa Zamani wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Mh. Ezekiel Maige akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya Kukabidhi ofisi kwa Waziri Mpya wa Wizara hiyo, Jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja.

Posted by Bigie on 5:37 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.