HAWA NDIO MASTAA WA NCHI SABA ZA AFRIKA WATAKAOSHIRIKI BIG BROTHER MWAKA HUU.
JAMII 2:48 PM
Barbz kutoka South Afrika (Model na mfanyabiashara)
Tanzania haijawekwa kwenye list ya hao mastaa saba na hakuna taarifa za ziada kuhusu hilo lakini kuna uwezekano BBA wakafanya surprise.
Mwimbaji Lady May kutoka Namibia.
Mampi kutoka Zambia (Mwimbaji)
CMB PREZZO kutoka Kenya. (Msanii)
Goldie kutoka NIGERIA (Mwimbaji)
DKB kutoka Ghana (Mchekeshaji wa Stand up Comedy)
Roki kutoka Zimbabwe (Mwanamuziki)





