RAIS KIKWETE AFANYA UTEUZI WA WABUNGE WATATU WAPYA
JAMII 2:33 PM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wabunge watatu wapya kwa mujibu wa mamlaka ya uteuzi aliyo nayo chini ya Ibara ya 66(i) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wabunge hao wapya ni:
Uteuzi huo unaanza mara moja.
Taarifa imetolewa siku ya leo Alhamisi ya tarehe 3 Mei, 2012 na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Dar es Salaam.
Bofya majina yaliyokolezewa wino kusoma wasifu wa kila mhusika. Nukuu ya Ibara ya 66 ya Katiba ni kama ifuatavyo:
Wabunge hao wapya ni:
- Prof. Sospeter Muhogho
- Bi. Janet Mbene
- Bw. James Mbatia (Mwenyekiti NCCR - Mageuzi)