KATIKA KUSHEHEKE "MOTHER'S DAY" DINNER MAALUM IMEANDALIWA
JAMII 3:18 AM

Katika kusherehekea "Mother's Day" Dinner maalum imeandaliwa, kina baba na watoto waleteni mama zenu. Kina kaka na dada waleteni dada zenu, shangazi, mama mdogo na marafiki ambao ni mama tayari au kina mama wa kesho.
Shughuli hii itafanyika JB Belmont, Benjamin Mkapa Tower siku ya Jumamosi, 12 May kuanzia saa moja usiku kwa kiasi cha 50,000/= kwa ajili ya chakula, dansi live na shughuli kem kem za kumfanya mama ajisikie yeye ni wa muhimu na anayependwa. Imeletwa kwenu na Aunt Sadaka toka Thinline Counseling Home akishirikiana na Power Breakfast ya Clouds Fm .
Tiketi zinapatikana Mlimani City,Shear Illusion ama piga simu namba 0655717575 au 0767787882





