MH KOMBANI AKABIDHI OFISI KWA MH CHIKAWE LEO
habari za kitaifa, JAMII 6:07 AM
Waziri wa Katiba na Sheria,Mh. Mathias Chikawe (katikati) akipokea taarifa ya makabidhiano leo kutoka kwa aliyekuwa Waziri katika Wizara hiyo,Mh. Celina Kombani (kulia) aliyehamishiwa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma. Anayeshuhudia ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria,Mh. Angela Kairuki.





