WAZIRI MKUU AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA MAFUTA YA STATOIL...PIAS ATEMBELEA OFISI ZA TUME YA KAMATI YA MABADILIKO YA KATIBA
habari za kitaifa, JAMII 6:03 AM
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa Kampuni ya Mafuta ya STATOIL na ujumbe wake, ofisini kwake jijini Dar es salaam leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwenyekiti wa Tume ya Kamati ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba na wajumbe wa Tume hiyo baada ya kutembelea Ofisi za Tume jijini Dar es salaam leo.





