RIHANNA AJIACHIA NA PICHA ZAKE ZA JARIDA LA ESQUIRE KWA MARA YA KWANZA KATIKA MTANDAO WA TWITTER
habari za kitaifa 2:04 AM




Kama kawaida, Rihanna ametoka bomba kinomanoma!
RiRi hakuweka picha peke yake bali aliziongezea maneno ya uchokozi kutoka kwenye wimbo wake ‘Hard’!
“They can say whateva, ima do whateva,” Ain’t like me, dat bitch too phony”, na kwenye picha anayoonekana na kipenga mdomo ameandika “No pain is foreva”.
Hmm, inaonesha kama Rihanna alikuwa akimlenga mtu baada ya wiki iliyopita kujikuta kwenye beef kadhaa kwenye Twitter.
