STAA WA SINGLE MPYA YA "NIDANGANYE ", SHETTA AMUOA LEILA!

 
Staa wa single mpya ya Nidanganye feat Diamond, mshkaji kutoka Ilala DarStamina msanii Shetta May 4 2012 amemuoa binti Leila mwenye umri wa miaka 22 ambae wamekaa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa miaka miwili na nusu.

Shetta ambae ana umri wa miaka 22, amesema mpenzi wake ni mjamzito wa miezi sita kwa sasa na hilo ni moja kati ya yaliyomfanya afanye swala la ndoa upesi huku akikiri kwamba ni msichana ambae anampenda.

May 6 2012 itafanyika party nyumbani kwa kina Leila lakini Shetta amesema atafanya party kubwa siku za baadae baada ya mke wake kujifungua.

Posted by Bigie on 11:31 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.