UDOM YAENDELEA KUWEKA MSISITIZO WA WARAKA WA MAVAZI KWA KUBANDIKA WARAKA MWINGINE TENA

Hii ni picha ambazo zinonyesha aina ya mavazi na staili za nywele ambazo Uongozi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma umezipiga marufuku Chuoni Hapo.Na Waraka Huu wa Pili Umetolewa na Kubandikwa leo katika muendelezo wa Kutoa waraka wa mavazi ambao wa kwanza ulibandikwa jana Social science

Posted by Bigie on 3:58 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.