UWOYA AJIABISHA UKUMBINI



Irene Uwoya.


MSANII wa filamu, Irene Uwoya juzikati alipatwa na aibu ya aina yake baada ya kuingia ukumbini akiwa ametinga kigauni kilichoacha wazi ‘Maziwa.’

Tukio hilo lilitokea kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa mama mjasiriamali wa mjini anayefahamika kwa jina la Mama Loraa iliyofanyika Mbezi jijini Dar es Salaam.

Akiingia katika ukumbi uliopo nyumbani kwa mama huyo, Uwoya alionekana akiwa ameongozana na msanii mwenzake, Zuena Mohammed ‘Shilole’ lakini ghafla gauni alilokuwa amevaa lilimvuka na kujikuta akiiacha sehemu yake hiyo nyeti wazi.

Baada ya kuona anahadhirika, alijiweka freshi na fasta akatafuta kiti akakaa bila kujishitukia kama aliaacha wazi ‘nyonyo’ yake.

Posted by Bigie on 2:19 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.