ACCESS GRANTED: CHECK OUT BEHIND THE SCENE PICS ZA VIDEO MPYA YA AY IN SOUTH AFRICA
burudani, habari za kitaifa 9:57 AM

Few days ago Tzee number one hustler artist Ambwene Yessaya aka AY ali-jet out of the country akiwa na producer wa MJ Records - Marco Chali kuelekea South Africa kwa ajili ya kutengeneza video ya ngoma mpya ya AY ambayo amempa shavu Marco.
The video is reported to cost AY more than $28,000 for production na matumizi mengine.
Wapekuzi tumefanikiwa kupata pics za matukio yaliyokuwa yakifanyika nyuma ya camera wakati wa utengenezwaji wa video hiyo and here we are, granting you the access to check out what went down in SA.