Waziri Ferej Akitoa Taarifa Ya Siku Ya Mazingira Zanzibar
Posted by Bigie
habari za kitaifa
9:57 AM
Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Fatma Abdulhabib Fereji akifafanua jambo wakati akitoa taarifa kwa Wanachi kupitia vyombo vya Habari mbalimbali kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani 05/06/2012 ambayo kwa Zanzibar kitaifa yatafanyika huko Kisiwani Pemba. Wazi8ri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Fatma Abdulhabib Fereji akizungumza na Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani 05/06/2012 ambayo kwa Zanzibar kitaifa yatafanyika huko Kisiwani Pemba. PICHA NA YUSSUF SIMAI ALI MAELEZO ZANZIBAR.

Posted by Bigie
on 9:57 AM.
Filed under
habari za kitaifa
.
You can follow any responses to this entry through the
RSS 2.0