Finland Kusaidia Matumizi Bora Ya Ardhi Tanzania
habari za kitaifa 9:50 AM
Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Finland, Heidi Hautala (katikati)akipata msosi uliopikwa na wanakijiji wa Nundwe wilayani Mufindi mkoani Iringa huku akiwasikiliza wajasiriamali katika ziara aliyofanya wilayani humo.
Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Finland, Haidi Hautala (aliyevaa koti jeusi, katikati) akiwa na Katibu wa wizara ya Mali asili na Utalii, Maimuna Tarishi (Kushoto) na Balozi wa Findland nchini Sinika Antila (Kulia) wakiwasililiza wanakikundi wa Kikundi cha upandaji wa miti cha Nundwe na Mapanda, katika kijiji cha Nundwe wilayani Mufindi. Katika ziara hiyo, Finland iliahidi kusaidia kukamilisha mpango wa matumizi bora ya ardhi. Chanzo: Frankleonard.blogspot.com
