MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AZINDUA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI-KILIMANJARO
habari za kitaifa 6:40 AM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti aina ya Mroliondo katika eneo la Chem chem ya Maji Njoro,leo Juni 03, 2012, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yanayofanyika Kitaifa Mkoani Kilimanjaro.
