MARANDA NA NDUGUYE WAENDELEA KULA KIBANO

Maranda (kulia) na Farijala wakirudishwa gerezani baada ya kesi yao kuahirishwa.
Aliyekuwa Mweka Hazina wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kigoma, Shaaban Maranda na binamu yake, Farijala Hussein, ambao wanatumikia kifungo cha miaka mitano jela kila mmoja baada ya kupatikana na hatia za kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu kutoka kwenye mfuko wa madeni ya nje (EPA), leo wamepandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar, kwa ajili ya kesi nyingine kama hiyo inayowakabili mahakamani hapo.

Posted by Bigie on 10:18 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.