WAHU AMTAJA ALIYEMUIMBA KWENYE "STILL A LIAR"
habari za kitaifa 5:57 PM

Kenya songstress Wahu Kagwi ambaye kwa sasa ana-shine na ngoma yake inayomzungumzia mwwanaume mdanganyifu kwenye mapenzi aliyemtenda, hatimaye amefunguka na kumtaja the 'Liar' she sangs about in her recent hit single "Still a liar".
Huku watu wengi wakiwa wanahisi labda atakuwa amemzungumzia mumuwe na fellow singer David Mathenge aka Nameless, ambaye ni sukari ya warembo wa Nairobi,
Wahu leo hii ameamua to put speculations to bed, alipomuweka wazi 'Liar' wakati akihojiwa na na Easy FM. She said, "Everbody keeeps saying, ooh labda nimemzungumzia mtu anayenihusu wengine wakisema ni mume wangu, lakini I want to this speculations off kwa kusema yule mtu nimemuimba kwenye wimbo wangu, ni mtu ambaye nimemtengeneza mtu and he doesn't exist, though vitu nimeimba kwa wimbo wangu ni matukio yanayotokea kila siku kwenye jamii yetu. You know people are liars."
