HUYU NDO DALLAS WA WOLPER AKILA BATA NA VIMWANA WENGINE....POLE WOLPER
dallas, habari za kitaifa, Jackline Wolper 5:03 AM
Ikiwa ni siku chache zimepita tangu Wolper na Dallas wapigane chini, tayari picha za Dalla akila bata na Warembo wengine zimeanza kusambaa mitadaoni.......
Haya ndo matunda ya mapenzi ya PESA na MAGAZETI.....Mwisho wa siku ni kudhalilika na kuaibika.....
Taarifa zinadai kuwa Wolper amekwisha nyang'anywa yale magari ya kifahari alokuwa akitanua nayo.......
Poleni sana dada zetu mnaodanganyika na pesa.






