MALAYA WA BBM WAZIDI KUSHIKA KASI


Kumekuwa na wingi kubwa sana la watumiaji wa Black Berry Messenger Hapa Tanzania Kama njia Moja wapo ya Mawasiliano lakini watu wengine wameanza kuitimia Vibaya njia hii hasa Dada Zetu kwa kuwa Omba Omba na Kuwapiga Mizinga ya Hela Wanaume kwa kupitia BBM 

Unakuta hata Hamjui Anae Chat nae na lakini bila aibu  anaanza Kuleta Shida Zake..

Wengine Ni Mastaa Kabisa wa Hapa Bongo lakini unakuta wanalia Njaa kwa wanaume...

Tunazo Screen Shot ya Baadhi ya Conversation tulizotumiwa na Wanaume Mbali Mbali zinazoonyeshe Jinsi wanavyoomba na kufanya Umalaya kwa kupitia BBM ......

Kwa Kuheshimu Hatuziweki zote hapa Leo.....Tunaanza na huu utanguliza  wa Vera.




Posted by Bigie on 1:14 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.