LUNDENGA AMTIMUA MREMBO JUKWAANI BAADA YA KUTINGA NA KIVAZI CHA NUSU UCHI....
Posted by Bigie habari za kitaifa, picha za utupu 2:38 AMMWENYEKITI wa Kamati ya Mashindano ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga Jumamosi iliyopita alimtimua mshiriki wa shindano la Redd’s Miss Morogoro 2013, Saphina Chumba (20) jukwaani wakati shindano hilo lilipokuwa likiendelea.
Tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita katika Ukumbi wa Hoteli ya Kitalii ya Nashera mjini hapa wakati mrembo huyo alipokuwa akiwania kuvaa taji la mkoa huo.
Kisa cha mrembo huyo aliyevalia namba 5 kutimuliwa ni kukiuka maadili na kanuni za mashindano hayo kwa kuvaa nusu utupu mbele ya mgeni rasmi ambaye alikuwa Mbunge wa Kilosa, Mustapha Mkulo na mbele ya Kamati nzima ya Miss Tanzania.
Kisa cha mrembo huyo aliyevalia namba 5 kutimuliwa ni kukiuka maadili na kanuni za mashindano hayo kwa kuvaa nusu utupu mbele ya mgeni rasmi ambaye alikuwa Mbunge wa Kilosa, Mustapha Mkulo na mbele ya Kamati nzima ya Miss Tanzania.
Baada ya kuona jinsi alivyovaa, Lundenga na kamati yake walikubaliana kumtimua mshiriki huyo kwa kumwita Jaji Mkuu wa shindano, Alex Niktasi na kumtaka amuondoe haraka.
Mbali na Chumba, pia jaji alimtimu mrembo mwingine aliyevalia namba 8, Neema Joel (20) kutokana na kushiriki shindano hilo mara mbili mwaka huu, inadaiwa mara ya kwanza alishiriki mkoani Arusha.
Lundenga alipohojiwa na mwandishi wetu alisema kamati yake inataka kuendeleza nidhamu tangu ngazi ya chini, hivyo hawawezi kuruhusu utovu wa nidhamu.
HIZI NDO SABABU KUU ZA WANAWAKE WENGI KUVAA NUSU UCHI
Posted by Bigie habari za kitaifa, picha za utupu 6:47 AMWakati mwingne wanaume au watu tofauti hudhani kwamba, wanawake wanaovaa nusu uchi huwa wanafanya hivyo kwa sababu ya kutafuta soko kwa wanaume.
Inawezekana kukawa na wale ambao wana sababu hizo, lakini wapo wale ambao wanalipa fidia kutokana na kuamini kwao kwamba wanamapungufu kwa mfano sura zao zimewaangusha, hivyo miguu yao mizuri inabidi kuziba pengo au udhaifu huo.
Wakati mwingine hata wanawake wanaodhani au kudhaniwa kuwa ni wazuri, wamekuwa wakivaa nguo fupi zinazoonyesha maungo yao.Hawa nao ni lazima wanalipa fidia ya kasoro fulani waliyo nayo.
Inawezekana wameshindwa kulinda ndoa zao, au inawezekana hawajaolewa na sasa wanataka kuonyesha kwamba, pamoja na kutoolewa kwao, bado wao wana sura na miguu au miili mizuri.

Udhaifu wowote ambao unamkera mwanamke iwe ni wa moja kwa moja au kupitia nyuma ya ubongo wake, unaweza kuonyeshwa kwa mwanamke huyo kuyatangaza yale maeneo ya mwili wake ambayo anaamini ni mazuri.

Udhaifu wowote ambao unamkera mwanamke iwe ni wa moja kwa moja au kupitia nyuma ya ubongo wake, unaweza kuonyeshwa kwa mwanamke huyo kuyatangaza yale maeneo ya mwili wake ambayo anaamini ni mazuri.
Kuyatangaza huko humpa ahueni kwa kuamini kwamba bado anayo thamani, kwani ataangaliwa sana na wanaume, kusifiwa na pengine kutongozwa.
Hebu angalia wanawake ambao wanavaa nguo za kubana huku wakiwa na makalio makubwa. Hawa mara nyingi wana sura ambazo wao au wengi huamini kwamba ni mbaya.
Hebu angalia wanawake ambao wanavaa nguo za kubana huku wakiwa na makalio makubwa. Hawa mara nyingi wana sura ambazo wao au wengi huamini kwamba ni mbaya.
Huvaa nguo hizi ili kuonyesha kwamba, pamoja na ubaya wa sura zao, bado wao ni wazuri sana katika maeneo mengine ya mwili ambayo wanaume na hata wanawake wengi huyapenda au kutamani kuwa nayo.
Wengi hawavai tu nguo hizi za kubana kwa sababu ni fasheni, la hasha, wengi hili ni kimbilio la udhaifu wao
BINTI ANASWA AKIFANYA MAPENZI NDANI YA GARI ...
Posted by Bigie habari za kitaifa, PICHA ZA UCHI, picha za utupu 4:55 AM
Hawa binadamu wasiokuwa na aibu walikutwa barabarani wakifanya mapenzi huku wakiwa wameegesha gari lao pembeni
Tukio hili chafu lilitokea week end iliyopita wakati binti huyu akitoka club huku akiwa tungi.Alipotoka nje ya ukumbi huo wa starehe, alionekana kumvaa dreva tax mmoja ili ampeke nyumbani.....
Mdau aliyeinasa picha hii anadai kuwa walipoondoka naye aliwasha gari yake tayari kwa safari ya kurudi kwake.Wakiwa njiani, alishtuka kuona gari hiyo ikipakiwa pembeni mwa barabara....
Jamaa anadi kuwa alilipita gari hilo na alipofika mbele alikaa kidogo na kuamua kurudi tena na ndipo alipowafuma live wakifanya uchafu huo na kuwapiga picha....
Walipokurupushwa na mwanga wa kamera ya jamaa huyo, mbulula hao waliliondoa gari lao kwa kasi na kutokomea
AIBU: WANAFUNZI WA CHUO KIKUU WAJIPIGA PICHA CHAFU WAKATI WAKIVUNJA "AMRI YA SITA"
Posted by Bigie habari za kitaifa, PICHA ZA UCHI, picha za utupu 11:25 AMWanafunzi watatu wa chuo maarufu nchini wametia aibu ya mwaka baada ya kunaswa wakivunja amri ya sita huku wakijipiga picha chafu za tukio hilo.....
Kwa mujibu wa ripota wetu, tukio hilo la aibu linahusisha wanaume wawili na msichana mmoja aliyetambuliwa kwa jina moja la Fetty.....
Kuvuja kwa picha:
Picha hizi zinadaiwa kusambaa na kumfikia mpekuzi wetu baada ya wanafunzi hao kutofautina na hivyo kuamua KUTUBU DHAMBI HII kwa staili ya KUUMBUANA
"KUTOVAA NGUO ZA NDANI HUSUSANI KWA WANAWAKE NI KUJIDHALILISHA"....SHILOLE
Posted by Bigie habari za kitaifa, picha za utupu, shilole 8:40 PMIMEBAINIKA kuwa baadhi ya wasanii wa kike nchini hawavai nguo za ndani kwa madai kwamba joto linawaumiza na kuwasababishia michubuko katika baadhi ya sehemu za mwili wao
Hali hiyo ya kutovaa nguo za ndani inasababishwa na wasanii hao kutaka kupata hewa na kuepuka kubanwa kwa madai kuwa wanahitaji kuwa huru zaidi na mavazi wanayovaa huku baadhi ya sehemu zao za mwili kuonekana vizuri
Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam juzi na msanii wa filamu pamoja na muziki wa miondoko ya miduala Zuwena Mohamed 'Shilole' alipokuwa akizungumza na jarida hili ....Shilole alisema kuwa kutovaa nguo za ndani hususani kwa mtoto wa kike ni kujiaibisha na kujishushia heshima katika jamii
Alisema kuwa wapo wasanii ambao hawavai nguo za ndani kwa madai kuwa wanaogopa kuchubuka jambo ambalo yeye aliliona si sahihi hivyo na kudai kuwa tabia ya kujirahisisha katika maswala ya ngono ndiyo inayopelekea kuvaa bila nguo yoyote ndani
"Unajua kiukweli ni kujishusha thamani hauwezi kukaa bila ya kuvaa nguo ya ndani tena mtoto wa kike ni kujidharilisha hata kama ni kuiga tusifikie huko jamani" alisema Shilole
Pamoja na hayo aliongezea kuwa sababu nyingine inayosababisha wasanii hao kubaki utupu ni kuonyesha viungo vya mwili wao jinsi walivyoumbika jambo ambalo yeye aliliita ni njia moja wapo ya kujidharilisha na kuutangaza uhuni kwa jamiii
"Kama hauna makalio makubwa huna tuu hata usivae nini hayaonekani hivyo ni bora ujistili kama mtoto wa kike" alisema Shilole
Alipoulizwa kuwa na yeye ni miongoni mwa wasanii wanaokaa utupu Shilole alisema kuwa amelelewa katika mazingira ya kuvaa nguo mbili kabla haujavaa ile inayoonekana na jamii hivyo hawezi kutoka nyumbani bila ya kuvaa nguo ya ndani
Kwa upande wake mwanamitindo Joketi Mwegelo alisema kuwa wasanii hao wanaovaa nguo bila ya kuvaa za ndani wanatakiwa kujistiri na kwenda na mazingira ili waendelee kulinda heshima yao kwa jamii
Alisema kuwa kama mtoto wa kike ni vyema ukafuata maadili na mazingira ya nchi hivyo basi kukaa utupu ni moja ya kujidharilisha na kushusha soko lako katika sehemu yako ya kazi na kuchangia kupunguza mashabiki ambao kwa namna moja au nyingine unaweza kuwapoteza kutokana na tabia
Credit: Pro-24
BINTI ABAKWA KIKATILI NA VIJANA WAWILI....
Posted by Bigie habari za kitaifa, PICHA ZA UCHI, picha za utupu 2:14 PMDaily post imepokea video moja ya kusikitisha sana ikimuonesha msichana mmoja akibakwa na wavulana watatu.....
Katika video hiyo, binti anaoneka kulia kwa huzuni akiomba msaada.Bahati mbaya, shetani hao wawili hawakuwa na tone la huruma kwa binti huyo.....
Watu hao ni wakenya na wanaongea kiyoruba.
Ifuatayo ni sehemu fupi ya video hiyo:
Video inafunguka kikatili ikimuonesha ikimuonesha binti akiwa amekabwa na anapumua kwa shida...
Binti: Nisaiidiee..( huku nalia)
Mbakaji: Jitahidi usioneshe sura yangu..( alikuwa anamweleza mwenzie aliyekuwa anarekodi)
Anayerekodi: Usijali, siichukui sura yako
Binti: Nimewakosea nini...nakufaaa...!!!
Mbakaji aliendelea kusisitiza kuwa sura yake ifichwe na binti aliendelea kuomba msaada bila mafanikio....
Hiyo ni picha ya mbakaji kama kuna mtu atafanikiwa kumtambua....
Credit: Dailpost-kenya
AIBU: MSANII AMANI NAYE AZIANIKA NYETI ZAKE....
Posted by Bigie habari za kitaifa, PICHA ZA UCHI, picha za utupu 12:51 PMAIBU: HII NI VIDEO YA BAUNSA WA KINONDONI ALIYEKAMATWA NA KULIWA KIBOGA NA WENZAKE
Posted by Bigie habari za kitaifa, picha za utupu 2:42 PMMAKAHABA 22 YANASWA NA JESHI LA POLISI...BEI ZAO ZILIKUWA NI SH. 2000T U
Posted by Bigie habari za kitaifa, picha za utupu 11:58 PMJeshi la Polisi Tanzania limewakamata zaidi ya wasichana wapatao 22 eneo la Mwananyamala karibu na geti la Mwananyamala hospitali akiwemo mama mtu mzima anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 70 ambaye alikuwa anamiliki jumba lenye zaidi ya vyumba 40 ambalo utumika kufanyia ukahaba maarufu kama danguro.
Akitoa taarifa leo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Kamanda Charles Kenyela, alisema kuwa wanashukuru wananchi ambao wameweza kutoa ushirikiano wa kukamatwa kwa wasichana hao ambao walikuwa wakifanya biashara ya ukahaba katika maeneo hayo kwa muda mrefu.
Mashuhuda wa tukio hilo, walisema kuwa wanalishukuru sana Jeshi Polisi kwa kuweza kuwakamata wasichana hao ambao wamekuwa wakifanya biashara hiyo ya ukahaba kwa muda mrefu.
"Tunalishukuru sana Jeshi la polisi kwa kuvunja kero hii ambayo imekuwa ikitukera tokea muda mrefu sana, yani danguro hili lipo tokea mwaka 1990, mimi nazaliwa nalikuta mpaka leo lipo ila leo ndiyo polisi wamekuja kuwakamata wahusika" Alisema mmoja ya vijana wanaoishi eneo hilo.
Shuhuda huyo aliongeza kuwa wasichana hao walikuwa wanafanya biashara hiyo kwa bei ya shilingi 2000, 3000 kwa muda mfupi (short time) na wateja wao ni vijana, akina baba pamoja na vijana ambao huwa wanabarehe kwa vile hawa huwa hawajui mapenzi huko huenda kufundishwa
AIBU: VIDEO YA MWANAMKE ALIYEFUMANIWA NA MUME WA MTU HUKU AKIWA NA HIRIZI KIBAO
Posted by Bigie fumanizi, habari za kitaifa, picha za utupu 10:52 PMMume wa mtu ni sumu......Mke wa mtu ni sumu.....Hii ni kauli mbiu yetu.
Kwa muda mrefu tumekuwa tukiripoti juu ya matukio mbali mbali ya fumani.Nia yetu ni kuikumbusha jamii kuwa matukio hayo ni ya aibu na yanapingana kabisa na maadili yetu...
Japo tukio ni la muda mrefu kidogo, lakini tumeona si vibaya tukaliweka tena ili jamii iendelee kujifunza.....
Hii ni video yenyewe ya mwanamke aliyenaswa akivunja amri ya sita na mume wa mtu....Bofya "play" kuisikiliza
WAPEWA KICHAPO CHA MBWA BAADA YA KUNASWA WAKIVUNJA AMRI YA SITA.....
Posted by Bigie habari za kitaifa, picha za utupu 5:08 PMwananchi wakiwazonga na kuwapa kichapo
AIBU: WANAWAKE WANASWA WAKIFANYA UCHAFU HADHARANI BAADA YA KUNYWA POMBE KUPITA KIASI
Posted by Bigie habari za kitaifa, picha za utupu 5:06 PMVERA WA P UNIT ADAI KUWA MAKALIO YAKE NDO YALIYOSABABISHA VIDEO YA "YOU GUY" IFUNGIWE
Posted by Bigie habari za kitaifa, picha za utupu 9:12 AMYule msichana anaesadikika kusababisha video ya P-Unit "YOU GUY" kuzuiwa kuoneshwa na kituo cha Televisheni cha Citizen nchini Kenya, Vera Sidika (pichani) azungumzia sakata hili linaloendelea nchini humo.
Vera akilizungumzia suala zima, anasema, "Ina maana Citizen TV hawaoneshi video za Rihanna akiwa nusu uchi, wanaonesha video nyingi za aina hii kutoka ughaibuni ambazo si nzuri. Hata hivyo hiki ni kizazi kipya. Nilikuwa nimevaa gauni tu."
Vera alipoulizwa kuwa, anadhani video hii imezuiliwa kwa sababu yake, alijibu "Binafsi, sidhani kama kweli, labda ni kwa sababu ya mwili wangu ndo maana wanapindisha maneno, kama ingekuwa ni msichana mwembamba isingeonekana kuwa ni mbaya ila kwa sababu ya matako yangu, watu ndio wanachanganyikiwa na hilo"
Mapema mwaka huu, Citizen TV iliifungia video ya P-Unit inayojulikana kama "You Guy" kutokana na kuonekana kwenda kinyume na maadili.
VIDEO YENYEWE HII HAPA
PICHA 4 ZA KUNDI LA "KANGA MOJA" WALIPOTIA DOSARI MKESHA WA BOXING DAY
Posted by Bigie habari za kitaifa, kanga moko, picha za utupu 10:25 PMPICHA TATA ZA WEMA SEPETU ZASAMBAA TENA....MATITI, KITOVU VYOTE HADHARANI
Posted by Bigie habari za kitaifa, picha za utupu, wema sepetu 4:42 AM
Miezi ya hivi karibuni magazeti ya udaku yamepunguza kumwandika vibaya Wema Sepetu lakini kwa picha hizi tunahisi yanaweza kuanza tena kwa kishindo! Hizi ni picha alizozipost kwenye mtandao wa Instagram na kuandika: Gats to lose me a few more pounds!!

“Tsup wema…….ur such a beautiful and attravtive lady.my day is not ova without checking ur photos.wish to meet & spend a day with u,” ameandika mmoja wa watu waliona picha hizo.
RAYUU ALALAMIKA KUCHAFULIWA NA AKAUNTI FAKE YA FACEBOOK ITUMIAYO PICHA YAKE
Posted by Bigie habari za kitaifa, picha za utupu, RAYUU 9:58 AMBAADA ya msanii wa filamu na tamthilia bongo Rayuu, kudaiwa kuwa anatumia mtandao wa kijamii wa facebook kuwaomba wanaume hela, ameamua kuweka wazi kuwa hausiki na ishu hizo na kudai kuwa kuna mmoja wa wasichana wanaotumia picha zake kwenye ukurasa wake akijifanya ni yeye ndiye anayehusika na ujinga huo kwani huwadanganya wanaume kuwa yeye ndiyo Rayuu wakati sio kweli.
Alisema kuwa aibu hiyo alianza kuipata kwenye msiba wa marehemu Sajuki, ambapo baadhi ya wanaume walioombwa fedha hizo walianza kumuuliza na kujikuta akiwa hana cha kuwajibu huku akishikwa na butwaa kuwa hajawahi kufanya tukio kama hilo.
“Baadhi ya wanaume wamekuja wakidai kuwa nilikuwa nawaomba hela kwenye mtandao wa facebook lakini baada ya kuzungumza nao sana wakanitajia jina la huyo dada na hata mimi simjui tena si rafiki yangu nashindwa kuelewa ni kwa nini anafanya hivyo,” alisema.
BAADHI YA STATUS ZA ASHA AKIOMBA PESA
HII NDO AKAUNTI ORIGINAL YA RAYUU
BINTI AJIKOJOLEA BAADA YA KUNYWA POMBE KUPITA KIASI
Posted by Bigie habari za kitaifa, picha za utupu 2:39 AMHuyu ni mwanamke aliyekutwa akiwa hoi baada ya kunywa pombe kupita kiasi.....
Sakata hili ambalo lilitokea katika party ya rafiki yake lilizua gumzo kubwa baada ya mrembo huyu kujikojolea....
Mwanzo alionekana akiwa ni mtu mwenye furaha na mchangafu.Baada ya pombe kumwelemea, binti huyu alijisogeza pembeni na kujilaza na ndipo aibu ya kujikojolea ilipomkumba
SAKATA LA WACHUNGAJI WAWILI MASHOGA WALIOKAMATWA NIGERIA.
Posted by Bigie habari za kitaifa, MASHOGA, picha za utupu 3:36 PMMoja kati ya stori zinazomiliki headlines sasa hivi Nigeria ni hii ya wachungaji wawili mashoga kushitakiwa kwa kosa la kumlazimisha mwanaume mwenzao kufanya nao hayo mapenzi ya jinsia moja.
Wachungaji wenyewe ni Prince Ejimole (26) na Lawrence Udo (25) ambao walikamatwa na polisi wakiwa kwenye chumba cha hoteli.
Mchapo kamili umeanzia pale muumini wao mmoja alipoomba msaada wa kufanyiwa maombezi ambapo wachungaji hao walimualika kwenye chumba cha hoteli ambayo siku zote ndio wamekua wakifanya hayo mambo yao kwa siri.
Muumini aitwae Chidiebere ambae ni mwanaume alipofika chumbani hotelini badala ya kuanza kuombewa akajikuta akipapaswa kimahaba na mmoja kati ya wachungaji hao ambae alianza kumvua nguo mpaka kumshika kwenye sehemu zake za siri.
Chidi alipoona hivyo akapiga kelele na kuita uongozi wa hoteli ambao nao waliwaita polisi waliokuja kuwakamata wachungaji hao, wahudumu wa hoteli hiyo hawakua wameushtukia mchezo kwa sababu siku zote wachungaji hao wanapokuja kukodi chumba wanajua wamekuja kwa ajili ya maombi manake hata kelele za maombezi huwa wanazipiga.
Kesi yao tayari iko Mahakamani na itasomwa tena january 7 2013.
Wachungaji wenyewe ni Prince Ejimole (26) na Lawrence Udo (25) ambao walikamatwa na polisi wakiwa kwenye chumba cha hoteli.
Mchapo kamili umeanzia pale muumini wao mmoja alipoomba msaada wa kufanyiwa maombezi ambapo wachungaji hao walimualika kwenye chumba cha hoteli ambayo siku zote ndio wamekua wakifanya hayo mambo yao kwa siri.
Muumini aitwae Chidiebere ambae ni mwanaume alipofika chumbani hotelini badala ya kuanza kuombewa akajikuta akipapaswa kimahaba na mmoja kati ya wachungaji hao ambae alianza kumvua nguo mpaka kumshika kwenye sehemu zake za siri.
Chidi alipoona hivyo akapiga kelele na kuita uongozi wa hoteli ambao nao waliwaita polisi waliokuja kuwakamata wachungaji hao, wahudumu wa hoteli hiyo hawakua wameushtukia mchezo kwa sababu siku zote wachungaji hao wanapokuja kukodi chumba wanajua wamekuja kwa ajili ya maombi manake hata kelele za maombezi huwa wanazipiga.
Kesi yao tayari iko Mahakamani na itasomwa tena january 7 2013.
K24 TV YA KENYA YAANZISHA KIPINDI CHA KUFUNDISHA STYLE ZA KUFANYA NGONO ( MAPENZI )
Posted by Bigie habari za kitaifa, picha za utupu 7:16 AMK24 TV ya nchini Kenya ambayo ilianzisha kipindi kinachoitwa Connect ;Mombasa Raha position kwa lengo la kuzunguzia maswala ya mahusiano ya kimapenzi kama vile uchumba, ndoa namengine mengi kama zinavyofanya radio nyingi za hapa bongo mida ya saa nne hadi sita usiku.
sasa K24 TV wamevuka mstari na kuanza kufundisha mitindo mbalimbali ya kufanya mapenzi na jinsi ya kufanya kwa usahihi zaidi kupitia kipindi hicho.
Katika kipindi hicho kinachoendeshwa na msichana ama unaweza kumuita mwanamke anaeelezea aina ya style, anapewa kampani na mwanadada mwingine ambae anaact kama mwanaume ili kutoa maelekezo kwa vitendo.
Kuna mtu mmoja aliwahi kusema katika hii dunia itafikia hatua ngono pia itawekwa kwenye orodha ya basic needs siku za usoni, lakini kwa sasa hivi ipo kati ya mahitaji muhimu sana kwa baadhi ya watu ukishakuwa na basic needs yaani mavazi malazi na chakula.Katika kipindi hicho kinachoendeshwa na msichana ama unaweza kumuita mwanamke anaeelezea aina ya style, anapewa kampani na mwanadada mwingine ambae anaact kama mwanaume ili kutoa maelekezo kwa vitendo.
.
Featured Post
NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne ambayo ni Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...



























