"MAVAZI YA NUSU UCHI HUNIFANYA NIWE NA MVUTO ZAIDI"......RECHO

RACHEL Haule ‘Recho’ anayefurukuta ndani ya Bongo Movies, amesema hupendelea kuvaa nguo fupi kwa sababu zinampa uhuru katika mitoko yake.

Katika mahojiano maalum na Mtandao huu, Recho alisema nguo fupi si tafsiri kwamba hajiheshimu na anazimikia kwa sababu pia zinamuongezea mvuto na mwenekano wake kuwa wa kisasa zaidi.

“Heshima ya mtu haiwezi kuharibiwa na mavazi, unaweza kuvaa madira na ukawa na tabia za ovyo tu. Mimi najiheshimu lakini siwezi kuacha kuvaa nguo fupi,” alisema Recho.

Posted by Bigie on 12:50 AM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.