GODZILLA APOROMOSHA VIDEO YA “NATAKA”.....KARIBU UICHEKI


King from salasala ambaye pia ni mkali wa freestyle Bongo, Godzilla baada ya kutamba na audio yake ya nataka round hii anakuja kutawala kwenye television yako kwa kuachia kichupa kipya.

Kabla ya kuachia kichupa hiki cha “Nataka” Kingzillah alikuwa anatamba na video yake kwa jina la “Hard Work Pay“.  Audio ya “Nataka” imetengenezwa na producer Marco Chali huku video ikiwa imesimamiwa na kampuni ya E-Media chini ya Director Nick Dizzo na Sama Jahn.

Kwenye video hiyo utapata kuwaona mastaa wa Bongo flavour kama Marco Chali, Chegge, Madee na wengine wengi.

Check Out video hiyo ya “Nataka” from Kingzillah:

Posted by Bigie on 4:45 AM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.