"UBUNGE NI KAZI YA KIBWEGE..." AFANDE SELE KATIKA XXL JANA
AFANDE SELE, habari za kitaifa 1:05 AM
AFANDE SELE.....
"Ubunge ni kazi ya 'kibwege' watu wamekuchagua ili uwatumikia kwa hiyo unatakiwa kuwa mtumwa wa watu wako kwa kuwa karibu na kufanya kile wanachokihitajiwao na siyo kukalia kiti hicho kwa niaba yako na ndugu zako, inanishangaza sana mtu anachaguliwa ndani ya miaka miwili tayari anamiliki Vogue sasa huu ka siyo wizi ni nini" Afande Sele
Bofya Play kusikiliza zaidi hapo juu.






