MSHINDI WA MAISHA PLUS AKABIDHIWA KITITA CHAKE


Meneja wa Benki ya NMB, Tawi la Makao Makuu,Benadicta Byabato (kushoto) akimkabidhi mshindi wa Shindano la Maisha Plus Seasons 3,Bernick Kimiro kitita cha Shilingi Milioni 20 baada ya kuibuka mshindi katika shindano hilo lililomalizika juma lililolipita jijini Dar es Salaam.
Bernick Kimiro akifungua akaunti katika Benki ya NMB huku kaka yake  Abdulazizi Abasi (kushoto aliyesimama) na ofisa wa benki hiyo  wakifuatilia kwa makini.
Mtoto Amarisa Sevuri akiwa ameshika kitita cha Bernick Kimiro na Rachel Ndauka ambaye ni rafiki yake na Bernick Kimiro.

Posted by Bigie on 5:18 PM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.