AVRIL ADAIWA KUJIACHIA KIHASARA HASARA AKIWA BONGO NA KUJIKUTA AKIISHIA KUGAWA PENZI KWA DIAMOND....



 Siku  ya ijumaa mitandao mbalimbali  ya kijamii  iliandika  kuhusu  Diva  wa Kenya ,Avril kwamba  hivi karibuni alipotua  bongo  alijiachia kihasara na  kujikuta akiishia kugawa penzi  kwa msanii  Diamond...
Baada ya  habari hizi kuzagaa kila  kona,Avril  ameamua kuvunja ukimya  na ufunguka  ya moyoni kuhusu  uhusiano wake  na  Diamond......
 avril alipokumbwa na kashfa ya usagaji

"Mimi na  Diamond ni marafiki  tu na  ni  ukweli  uliwazi kuwa  kuna wsichana  wengine  pia  ambao walioneka  katika video  yake  ya  KESHO.....
Sisi  tuliombwa  tu  tumpe  "sapoti"  katika video  yake yake ya  NATAKA  KULEWA na KESHO ambayo  ilifanywa  na  Ogopa DJs......
Sijawahi toka na Diamond  na kwenda Zanzibar kuspend  kama  ambavyo watu wanada.Nashangaa  ni  nani  aliyesambaza huu  uzushi".....Avril

Posted by Bigie on 2:10 AM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.