"SIWEZI KUMUOMBA MSAMAHA DIAMOND KWENYE TWITTER"...PREZZO
Posted by Bigie diamond, habari za kitaifa 10:58 PMRapcellency, Prezzo amesema hawezi kumuomba msamaha Diamond kwenye Twitter kwakuwa anaamini hakuna alichomkosea na ni jambo la kitoto.
Akiongea jana mchana kwenye kipindi cha Mambo Mseto cha Radio Citizen, kinachoendeshwa Mzazi Willy M. Tuva, Prezzo amesema Diamond ndiye aliyemchokoza baada ya wasanii hao kutumbuiza mwanzoni mwa mwezi huu kwenye tamasha la Matumaini.
Prezzo anadai aligundua kuwa Diamond alimponda kwenye magazeti ya Tanzania kuwa hamwezi kwa lolote kwenye muziki.
“Mimi sipendi kuwa na adui kwa sababu muziki unafaa kuleta muungano, sa me nikashangaa mbona huyu brother ananiingilia na huku sikumbuki kumkosea wala hatujawai kukutana ana kwa ana,” alisema Prezzo.
“Mtu yeyote anamjua Prezzo ni kama rattle snake, ukimchokoza you have to get prepared to be bitten.”
Rapper huyo aliendelea kudai kuwa alimpigia simu Diamond lakini hakupokea na ndio maana aliamua kumdiss kwenye Twitter.
“Jamaa hakupokea simu nikaona ah! Basi liwalo na liwe, nikadecide ku-air my views.”
Hata hivyo Prezzo amesema hawezi kumuomba msamaha Diamond kwenye Twitter kama anavyomtaka afanye.
“Unaona kwa saa hizi akianza kusema aende kwa Twitter aniombe msamaha, maisha huwa hayaendi hivo…kwa hivyo vitu vingine naona ni kama ni utoto unaingilia kati, kwani yeye kusema niombe msamaha kwa Twitter….niombe msamaha kwa kosa gani? Kusema ukweli,unajua mimini msema ukweli, mimi kuomba msamaha kwa Twitter naona kidogo ni utoto.”
Hata hivyo Prezzo amesema hataki beef na Diamond kwasababu anamheshimu na amemshukuru Willy Tuva kwa kujaribu kuwasuluhisha.
Source: Mambo Mseto (Radio Citizen), Ghafla Kenya
HAYA NDO MAMILIONI YA PESA ALIYOINGIZA DIAMOND KWENYE SHOW ZA MWEZI ULIOPITA ....
Posted by Bigie diamond, habari za kitaifa 4:31 AMStaa wa Kesho, Diamond ameendelea kupiga hela kwa show nyingi zinazomfuata kila kukicha. Wingi wa show hizi unazidi kumfanya kuwa miongoni mwa wasanii wachache wa Tanzania wenye pesa nyingi zaidi.
Tumejaribu kuangalia baadhi ya show alizofanya mwezi huu, atakazofanya mwishoni mwa mwezi huu na mwezi ujao ili kukadiria ni kiasi gani anaweza kuwa ameingiza. Baadhi ya show tunafahamu ni kiasi gani aliingiza huku zingine tukikadiria kutokana na jinsi anavyochaji.
Tumejaribu kuangalia baadhi ya show alizofanya mwezi huu, atakazofanya mwishoni mwa mwezi huu na mwezi ujao ili kukadiria ni kiasi gani anaweza kuwa ameingiza. Baadhi ya show tunafahamu ni kiasi gani aliingiza huku zingine tukikadiria kutokana na jinsi anavyochaji.
Show ya nchini Comoro 22 June
Katika show hii alisema alilipwa si chini ya dola 25,000 za kimarekani ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 38.
Katika show hii alisema alilipwa si chini ya dola 25,000 za kimarekani ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 38.
Show za Usiku wa wasafi Tabora 28 na 29 June
Mara nyingi katika show za ndani Diamond hachukui si chini ya shilingi milioni 10 kwa show mbili huenda akawa amelipwa zaidi ya shilingi milioni 15.
Mara nyingi katika show za ndani Diamond hachukui si chini ya shilingi milioni 10 kwa show mbili huenda akawa amelipwa zaidi ya shilingi milioni 15.
Show ya Tigo Mwanza 30 June
Katika show za makampuni kama hizi Diamond hulipwa si chini ya shilingi milioni 10.
Katika show za makampuni kama hizi Diamond hulipwa si chini ya shilingi milioni 10.
Kili Music Tour 2013
Tulipata taarifa kuwa Diamond atafanya show kwenye mikoa minne na kwamba amelipwa shilingi milioni 50 kwa show zote.
Tulipata taarifa kuwa Diamond atafanya show kwenye mikoa minne na kwamba amelipwa shilingi milioni 50 kwa show zote.
Show ya Matumaini 7 July
kwenye hii show diamond ana zaid ya mil.10
Show ya Kenya 27 July
Kwenye show hii Diamond atashare stage na mastaa wa Nigeria, Ice Prince na Davido na hapa kama alivyosema kuwa katika show za nje ya nchi huwa hachukui chini ya dola 15,000. Kuna uwezekano hapa akawa amelipwa zaidi ya shilingi milioni 20.
kwenye hii show diamond ana zaid ya mil.10
Show ya Kenya 27 July
Kwenye show hii Diamond atashare stage na mastaa wa Nigeria, Ice Prince na Davido na hapa kama alivyosema kuwa katika show za nje ya nchi huwa hachukui chini ya dola 15,000. Kuna uwezekano hapa akawa amelipwa zaidi ya shilingi milioni 20.
Kama una calculator basi unaweza ukapiga hesabu mwenyewe ni kiasi gani ameingiza kwa show za June na July. Kumbuka pia kuwa show zote hata za July tayari ameshasaini mkataba na ameshalipwa chake tayari. Kitu kama milioni 140 na usheee!!
Pia kumbuka ni balozi wa Cocacola na hulipwa kila mwezi kwa shughuli zinazohusiana na deal hiyo. Katikati wa mwezi July pia kuna uwezekano akawa na show zingine kibao.
“Siku zote ishi ukikumbuka, Maisha ni Vita, vita ambayo mwisho wake ni siku ya wewe kuingia kaburini, hivyo haupaswi kuchoka wala kukata tamaa.Heshima, Juhudi na Maombi ndio nguzo pekee zitazokusaidia wewe kushinda Vita hii… tambua Mwenyezi Mungu ndiye Muweza na Mpaganga wa yote,” anasema Diamond.
NAY WA MITEGO NA DIAMOND KUJA NA NGOMA MPYA..."SALAMU ZAO"
Posted by Bigie diamond, habari za kitaifa, NAY WA MITEGO 6:22 PMBaada ya kutamba na Muziki Gani, Diamond na Nay Wa Mitego wako mbioni kuachia ngoma nyingine hivi karibuni baada ya kupembua ipi ianze kati ya ‘Salamu Zao na Kwa Masela’.
Nay ameiambia mpekuzi kuwa kuna nyimbo tatu ambazo zipo tayari, Salamu Zao, Kwa Masela na Utakula Jeuri Yako, hawajajua ipi itaanza kutoka kwasababu kila mmoja yupo katika tour zinazoendelea.
Wamesema wakikaa wakashauriana na wadau mbalimbali ndipo watakapoamua mzigo upi uingie mtaani kwanza.
“Kuna kazi ambazo zinakuja hivi karibuni ambazo nimefanya na Diamond lakini mpaka sasa hivi sijajua ni ipi ambayo itaanza kutoka lakini tutawaita wadau wachague ipi ianze kati ya ‘Salamu Zao na Kwa Masela’ ambazo zipo tayari na ‘Utakula Jeuri Yako’ nimefanya mwenyewe...
"Ilibidi tutoe nyimbo ambayo tumefanya na Diamond lakini mpaka sasa hivi hakuna maamuzi ya moja kwa moja tuitoe au kila mtu atoe ya kwake au tutaendelea na project yetu iliyoendelea, kwahiyo wadau wakae mkao wa kula,” amesema Nay.
DIAMOND PLATNUMS KUPERFORM JUKWAA MOJA NA WAKALI WA NIGERIA NCHINI KENYA MWEZI UJAO
Posted by Bigie diamond, habari za kitaifa 12:59 AMNi ukweli ulio wazi kuwa star wa ‘Kesho’ Diamond Platnumz ‘anaweza’ kuwa msanii wa Tanzania anayefanya show nyingi zaidi kwa sasa na za gharama kubwa, baada ya kuwachanganya mashabiki wa Comoro na crew yake ya Wasafi weekend iliyopita sasa anategemewa kushare jukwaa moja na wakali kutoka Nigeria Davido na Ice Prince jijini Nairobi mwezi July.
Diamond Platnumz kipenzi cha mabinti ataungana na star wa Nigeria hit maker wa ‘Dami Duro’ Davido, Ice Prince, Victoria Kimani wa Kenya, na wakali wengine katika ‘Boombaataa Festival’.
Mtandao wa Ghafla umethibitisha ushiriki wa Diamond katika show hiyo kubwa ambayo hufanyika mara moja kwa mwaka nchini Kenya, yenye lengo la kuleta burudani ya utofauti kwa wanamuziki wa Afrika, fashion pamoja na utamaduni.
Show hiyo inategemewa kufanyika (July 27) mwaka huu Nairobi, Kenya.
MIMBA YA PENNY NA DIAMOND YATOKA
Posted by Bigie diamond, habari za kitaifa, PENNY 5:32 AMTAARIFA ya ndani zinazodai kwamba, mimba ya mchumba wa Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nassibu Abdul ‘Diamond’, Peniel Mgilwa ‘Penny’ imechoropoka zimevuja....
Kwa mujibu wa chanzo makini kilichojitambulisha kwa jina la wifi 10 cha jijini Dar hivi sasa hana ujauzito tena kama wengi wanavyodhani.
“Penny hana mimba jamani, yupo fiti kabisa na sidhani hata kama anatarajia kushika ujauzito leo wala kesho,” kilisema chanzo hicho.
Hata hivyo, wifi huyo alisema kwamba awali kulikuwa na dalili zilizoonesha kwamba Penny alikuwa ni mjamzito kutokana na mtangazaji huyo kutumia vitu vichachu kama vile maembe na mara kwa mara alikuwa akiumwa hadi kufikia kulazwa hospitali.
Inadaiwa kwamba Penny alipotoka hospitali alionekana kuwa fiti zaidi na hakuwa na dalili zozote za kuwa na ujauzito kama ilivyokuwa siku za nyuma.
Baada ya kupata habari hizo, mwandishig wetu alilimpigia simu Penny ili kuthibitisha madai hayo:
Mwandishi: Mambo vipi, Penny pole sana.
Penny: Pole ya nini sasa?
Penny: Pole ya nini sasa?
Mwandishi: Si nimesikia kwamba unaumwa jamani na ukakumbwa na mkasa mwingine?
Penny: Mkasa gani huo unaousema maana mimi niko fiti tu.
Mwandishi: Nilisikia kwamba baada ya kuumwa na kulazwa hopsitali mimba yako ikatoka?
Penny: (Kimya kwa dakika 3) Asante ni mipango ya Mungu.
Mwandishi: Sasa unatarajia lini utapata tena mimba nyingine?
Penny :(Kwachuuuuuu). Simu ilikatwa na hata ilipokuwa ikipigwa tena haikuwa ikipokelewa.
Credit: GPL
KUNDI LA MATAPELI WANAODAI KUTOA MIKOPO BILA RIBA WAVAMIA ACCOUNT ZA DIAMOND NA KUTOA UJUMBE HUU...
Posted by Bigie diamond, habari za kitaifa 7:32 AMKundi la matapeli wanaojiita Saving Foundation leo wameihack akaunti za Facebook na Twitter za Diamond na kuandika ujumbe unaoonekana kama umeandikwa na Diamond.
Amepigiwa simu Diamond ambaye hakuwa na taarifa zozote kumuuliza kama ni yeye ndiye aliyeandika na amekanusha kuandika ujumbe huo.
Ujumbe huo kwenye akaunti ya Facebook ya Diamond unasomeka:

Naimani kuwa Serikali yetu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania imeamua kuwasaidia watanzania masikini kidhat… fb.me/34VuPrEZl
— Diamond Platnumz (@diamondplatnumz) June 11, 2013
Matapeli hao pia wamewahi kutumia majina ya Zitto Kabwe na Ridhwan Kikwete kufanya utapeli huo.
Mtaalam mmoja wa masuala ya IT amedai kuwa matapeli hao wamejipanga na wana mtandao mkubwa.
MAMBO 10 KUHUSU DIAMOND LIKIWEMO LA KUMILIKI ZAIDI YA BILIONI MOJA KATIKA ACCOUNT YAKE
Posted by Bigie diamond, habari za kitaifa 11:56 PM1. Ana utajiri unaozidi shilingi bilioni 1.
2. Yupo kwenye mazungumzo na promoter wa Rwanda kufanya show moja ya uwanjani ambayo anaweza kulipwa dola 120,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 190.
3. Malipo ambayo hupokea kwa show zake nyingi za nje ya nchi hayashuki chini ya dola 25,000.
4. Tangia mwaka 2011 mwishoni akaunti yake haijawahi kushuka chini ya shilingi milioni 100.
5. Anamiliki nyumba kadhaa alizopangisha.
6. Wimbo Mawazo alimwandikia Jacqueline Wolper ambaye alikuwa mpenzi wake.
7. Kamwambie na Mbagala alimwambia mpenzi wake aitwaye Sarah aliyemkataa (Diamond) sababu hakuwa na uwezo.
8. Ukimwona alimwandikia Wema Sepetu baada ya kumsaliti.
9. Ili kuvunja mkataba na aliyekuwa meneja wake Papa Misifa, ilibidi amlipe shilingi milioni 18.
10. Ana timu (anayoilipa mshahara) ya watu zaidi ya 12 wakiwemo dancers, mtu wa mavazi, msaidizi wake, wapiga picha wawili nk.
Credit: bongo5
Credit: bongo5
DIAMOND ATIA AIBU YA MWAKA....KINGERZA CHAMUUMBUA TENA
Posted by Bigie diamond, habari za kitaifa 1:50 PMKWANZA NAANZA KWA KUMPONGEZA SANA DIAMOND maana akiwa hajamaliza hata wiki mbili tangu atoke kwenye tour iliyofanikiwa ya Burundi na Congo, Diamond leo amesaini mkataba wa show nyingine kubwa ya kimataifa.
Kupitia Instagram, Diamond ameshare picha inayomuonesha akisaini mkataba wa show huku pembeni akiwepo mtu mwenye asili ya Asia ambaye huenda ndio promoter.
"After I DONE did the Uk,Congo,Burundi…guess where next I’ll be headed.”...
Haijalishi umekosea au upo sahihi, ujumbe umefika kaka!!. Waache wacheke, wataacha tu.
Hata hivyo, si vibaya pia kutumia lugha yetu ya kiswahili maana ujumbe hufika vizuri zaidi....Kingereza lugha ya watu...ni ngumu..!!!
Haijalishi umekosea au upo sahihi, ujumbe umefika kaka!!. Waache wacheke, wataacha tu.
Hata hivyo, si vibaya pia kutumia lugha yetu ya kiswahili maana ujumbe hufika vizuri zaidi....Kingereza lugha ya watu...ni ngumu..!!!
SHOW YA DIAMOND AKICHAMBUA NA KULINGANISHA VIUNO VYA AKINA DADA- UK
Posted by Bigie diamond, habari za kitaifa, PICHA ZA UCHI 4:14 AM"HAKUNA ZAWADI KUBWA NILIYOPEWA NA MUNGU ZAIDI YAKO DIAMOND...NAKUPENDA SANA"......PENNY
Posted by Bigie diamond, habari za kitaifa, PENNY 2:36 AMPengine utundu wa Diamond ndo kitu pekee kinachowafanya akina dada wamgombanie..Leo ni birthday ya Penniel Mungilwa na mpenzi wake Diamond Platnumz, amemwandikia maneno matamu.
“Sometimes I wish you could know how much you mean to me…its a lot’..fu***n a lot, I can’t even explain it.. It’s even more than money… sometimes I don’t even know how to col u, a wife, friend,sister,bedmate, partner.. Ooh God! I don’t know coz you are more than dat,”
“Siku zote umekuwa mwema, mkarimu,mpole,nidhamu na mwenye mapenzi tele juu yangu…. You always should keep this in your mind “I LOVE YOU SO MUCH”… Happy birthday Darling.”ameandika Diamond
Kwa maneno haya, hakuna msichana anayeweza kujizuia kulia kama akiambiwa na mpenzi wake.
Baada ya kuona ujumbe huo ulioandikwa na Diamond kwenye Instagram, Penny amejibu:
“Baby u just made me cry!! Oh God Naseeb I luv u so much hubby…wallahi sina hata cha kujibu to make u understand How I appreciate ur sweet luv,God has given me so many things but bringing u in my life is the best gift I have received…U just made my day,years,a lifetym…I wont forget this…thank u hubby.”
HAPPY BIRTHDAY PENNY.
DIAMOND AWATAKA MADEMU WA LONDON WAJIPENDEKEZE ILI ACHAGUE WA "KUMKANYAGA"
Posted by Bigie diamond, habari za kitaifa 4:23 AMNasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anaendelea kutunisha akaunti yake baada ya kulamba shavu la shoo za kutosha nchini Uingereza ambapo ameahidi kurejea Bongo na mchumba rasmi atakayemtambulisha kwa mama yake, Sanura Kassim ‘Sandra’.
Mkali huyo wa ngoma ya Kesho alifunguka hayo juzikati kupitia website yake alipokuwa akizinadi shoo hizo atakazofanya kwenye majiji ya London na Reading, Uingereza ambapo aliwataka warembo hasa Wabongo waishio humo kupendeza ili achague mmoja atakayekuwa mchumba’ke.
Bila kujali mjadala utakaoibuka kwa kuwa tayari ana mchumba ambaye ni Penniel Mungilwa ‘Penny’, Diamond alifunguka: “Mashabiki wangu wa London na Reading kijana wenu nakuja kuweka historia kwa mara nyingine. Warembo mpendeze nakuja kuchagua mchumba mmoja wa kuja kumtambulisha kwa mama Diamond.”
"HAKUNA MWANAMKE KWENDA KWENYE SHOW YA DIAMOND HUKO LONDON"......MANGE KIMAMBI
Posted by Bigie diamond, habari za kitaifa 5:11 AMBaada ya Diamond kusambaza clip ambayo inasikika Wema Akiongea nae ambayo Diamond Amesema kuwa Wema Alikuwa anajitongozesha...Mange Kimambi Ametoa Wito kwa wanawake wote walioko London Kutokwenda show ya Diamond akienda kufanya Show huko kwa vile alimzalilisha mwanamke mwanzao....
"Alafu bado utaona kunamijanamke huko London itavaa kabisa nguo na kujipaka ma makeup kwenye kumkatia Diamond viuno kwenye show... Ladies lets stand together...
tutadhalilishwa mpaka lini na hawa watu.....
Embu tuonyeshe mfano hapa......HAKUNA MWANAMKE KWENDA KWENYE SHOW YA DIAMOND HUKO LONDON..
ATAKAE KWENDA NTUMIENI PICHA YAKE HUMU TUMJUE.......ILA GUYS Seriously huyu jamaa kavuka mipaka tumfanye mfano kwa wenzie" Mange Kimambi
DIAMOND AFANANISHWA NA MWANAUME MSHAMBA, LIMBUKENI NA ALIYEKURUPUKIA MAPENZI UKUBWANI
Posted by Bigie diamond, habari za kitaifa, PENNY, wema sepetu 6:09 AMKAMA USHAMBA NI SOMO BASI MFANO NI HUU HAPA!!!.
USHAMBA. Binafsi namshabikia sana huyu Msanii but I cant take it anymore!, Awali ya yote tuelewe kwamba kumdhalilisha mwanamke yeyote na kwa namna yoyote ni sawa na kumdhalilisha mama yako mzazi!,
Mambo ya kuanza kurekodiana kwenye maongezi yaliyo private na kuyasambaza binafsi naona ni kuvuka mipaka na Ushamba uliopitiliza,
DIAMOND unaimba nyimbo nzuri za mapenzi lakini sasa una-prove Ushamba juu ya Mapenzi yenyewe,kifupi hakuna mtu anayekulazimisha uwe na mrembo gani kimapenzi kwani wewe ni mtu mzima maliza wanawake wote duniani ikiwezekana tembea mpaka na Mamba wa kwenye Mabwawa,hiyo ni hiari yako, ila unapopeleka hewani sauti ya maongezi private na wema aidha kwa kutafuta kuongeza umaarufu,this is rubbish!!!,
Kwa haraka haraka ukimsoma diamond unagundua kuwa ni wale wanaume ambao hawakuwahi kubahatika kupendwa na wanawake wazuri,sasa wanapokuja kushika pesa au umaarufu ndio inakuwa siraha yao ku prove kwenye jamii kwamba hata nao wanaweza.
Yaani Diamond kushobokewa na madem wazuri kwake ni kama ngekewa ndiomaana anaingia kichwa kichwa.
PENNY usisahau kwamba huyu wema alikuwa rafiki yako na ukamchukulia Bwana,tena bwana mwenyewe ni huyu mtoto wa kiswazi ambaye Mapenzi yanampeleka puta!,anayedhihirisha ulimbukeni wake kwenye jamii.
Leo kwa ushirikiano wako na Diamond umemuanika msichana mwenzako kumdhalilisha,ok tia maji kichwa chako hii ni Bongo soon utanyolewa na tutaandika hapa hapa.
WEMA, Sasa ukae chini ujifunze kwamba mitoto ya Kiswazi mingi milimbukeni,wewe ni binadamu na hujakamilika basi jaribu kujikamilisha kwa kupunguza makosa,sina maana ya kwamba nakutetea wewe bali binafsi sipendezwi na KUDHALILISHWA KWA MWANAMKE YEYOTE!
KIOO CHA JAMII : Hapa hakuna kioo,ni heri kuzamisha sura kwenye tundu la choo ukiamini kwamba utaiona taswira yako kuliko kuwapa dhamana wasanii malimbukeni.
Credit: Sheria ni Msumeno
"HIVI MAMBO YA DIAMOND INA NINI MPAKA INAGOMBANIWA???.....DIAMOND NAOMBA PENZI LAKO NA MIMI NIJIONEE"...HILDA NDEMA
Posted by Bigie diamond, habari za kitaifa 12:33 AM Katika hali ya kushangaza, binti mmoja maarufu kwa jina la Hilda amejitokeza hadharani kupitia facebook yake na kudai kuwa yupo tayari kugawa penzi kwa diamond hata bure ili naye ajionee kinacho wafanya wanawake wenzie wamgombanie...
Huu ni ujumbe wake
"Hey tsup..!! Diamond nipe penzi lako nionje kinachofanya kila mwanamke akung'ang'anie na kukutaka..
nataka kujua ni ufundi ama una mashine kubwa au spe*m zako zina almasi???.. c'moon plutnumz give me a chanche to one nite
Wema,Wolper,Uwoya,Aunt Ezekiel ...haiwezekani....Mwanaume unacho cha ziada siyo bure...
Nahitaji any time na popote.nitakuvulia chupi bila hofu.take my body right now bro..."
HII NDO KAULI YA IRENE UWOYA BAADA YA KUTUHUMIWA KUGAWA URODA KWA DIAMOND
Posted by Bigie diamond, habari za kitaifa, uwoya 12:34 PMBaada ya habari nyingi kuhusu Irene Uwoya kufumaniwa na Diamond kutawala vyombo vya habari mitandao hapo juzi, bongomovies iliamua kumtafuta kwa simu Irene Uwoya ili kuweza kupata majibu ya tuhuma za yeye kuingilia penzi lwa mwanadada Penny....
Bongomovie inadai kuwa ,jana tangu asubuhi ilikuwa ikimtafuta Irene Uwoya hewani bila mafanikio kwa kuwa simu yake ilikuwa ikiita bila kupokelewa....
Saa kumi na mbili hivi jioni, bongomovie hatimaye ilifanikiwa kumpata Uwoya hewani na kumtwisha zigo hilo la lawama na maswali kibao kuhusu kufumaniwa na Diamond.....
Bongomovie inadai kuwa, Uwoya alishindwa kujibu tuhuma hizo na kutoa jibu moja na fupi la mkatona .."ACHANA NAZO, HAZIWAHUSU"
Kundi zima la bongo movie likaona isiwe tabu ....likaamua kumwacha binti huyo .Hata hivyo kwa mtu yeyote mwenye umakini wa kufikiri atakuwa amekwisha elewa Uwoya alimaanisha nini...!!
.
Featured Post
NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne ambayo ni Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...
















