"NATAMANI KUOKOKA NA KUANZA KUIMBA NYIMBO ZA INJILI"...JINI KABULA
habari za kitaifa, jini kabula 5:18 AM
 MSANII wa filamu na muziki Bongo Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ anasema  kuwa muziki anaofanya na kundi lake la Scopion Girls ni wa muda tu kama  anafanya mazoezi, anafanya hivyo kwa sababu mara nyingi makundi ya  muziki wa kizazi kipya hayadumu kwa mantiki hiyo iwapo kundi lao  litakufa ataingia rasmi katika kuimba muziki wa Injili.
“Nafanya muziki nikiwa na kundi lengo ni kudumu kwa muda mrefu lakini kama itatokea kuvunjika kundi langu la Scopion Girls basi nitaimba nikiwa pekee yangu lakini si muziki huu wa kidunia bali nitamwimbia Mungu wangu kwa kuimba muziki wa Injili kwa sababu natamani sanakuokoka,”anasema Jini Kabula.
jini kabula akipigana denda na jack
 
Jini Kabula ambaye ni mzazi mwenzake na mwigizaji na mkurugenzi wa Tuesday Entertainment Ltd Mr. Chuzi pamoja na kuimba muziki pia ni mwigizaji nyota aliyejichukulia umaarufu katika tamthilia ya Jumba la Dhahabu na kushiriki katika filamu nyingi zinazoandaliwa na kampuni mbalimbali.