SAKATA LA MWANAMKE ALIYEVUA NGUO NA KUCHEZA UCHI NDANI YA UWANJA WA MPIRA


KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida wapenzi wa mpira waliofika kuangalia mechi kati ya (Pirates vs Chiefs ) huko nchini Afrika Kusini walipata kuona kioja cha mwaka pale waliposhuhudia Dada mmoja akivua nguo na kubaki na chupi kisha kuanza kucheza mbele ya wanaume bila kuona aibu mbele ya umati wa watu.....

Sakata hilo lilichukua  sura mpya baada  ya wanaume kutaka kumparamia  kwa lengo  la kumbaka.

Askari  polisi  walisaidia  kuzima timbwili  hilo  kwa kumchukua na kumuondoa mwanamke  huyo  ambaye inasemekana alikuwa  amelewa

Posted by Bigie on 5:29 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.