MREMBO AMWAGIWA MAJI YA MOTO BAADA YA KUFUMANIWA NA MPENZI WA RAFIKI YAKE....


Binti  mmoja  aliyejulikana  kwa  jina moja la Winfride  amejikuta akiuga  vibaya  mwaka  baada  ya  kumagiwa maji ya moto  na rafiki yake  wa kike.......

Ugomvi  huo ulizuka baada  ya huyo rafiki  yake  kumfuma  mara kadhaa  Winfride  akila bata  na  BOYFRIEND  wake.....

Hakika  mapenzi ni unyama.......Ni imani yetu kuwa sheria itatenda haki  kwa Winfride

Posted by Bigie on 7:02 PM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.