RAIS KIKWETE AONGOZA KUWA NA "FOLLOWERS" WENGI TWITTER IKILINGANISHWA NA WANASIASA WENGINE WA TANZANIA



Katika miaka miwili iliyopita tumeshuhudia mitandao ya kijamii hususan Facebook na Twitter ikitumiwa si tu kama mitandao ya kupotezea muda bali mitandao muhimu inayotumia na makampuni na wanasiasa kuelezea mambo yao.

Makampuni na mashirika mengi ya Tanzania kwa sasa yana akaunti kwenye mitandao hiyo ambapo yameajiri watu maalum kuiupdate. 


Wanasiasa nao wamekuwa watumiaji wazuri wa mitandao ya kijamii huku mtandao wa Twitter ukionekana kupendwa zaidi.Hii ndio orodha ya wanasiasa wenye wafuasi wengi kwenye mtandao wa Twitter:
1. Rais Jakaya Kikwete

46,502 Followers
11 Following
1,300 Tweets


2. Zitto Kabwe
39,776 Followers
1,215 Following
12,410 Tweets


3. January Makamba
24,290 Followers
2,565 Following
6,908 Tweets


4. January Makamba
12,311 Followers
10,631 Following
1,900 Tweets


5. Halima Mdee
10,654 Followers
855 Following
2,126 Tweets


6. Shyrose Bhanji
8,980 Followers
290 Following
7,163 Tweets


7. Mohamed Dewji
7,225 Followers
44 Following
1,118 Tweets

Posted by Bigie on 1:50 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.