VIDEO: POLISI JIJINI MWANZA YATUMIA MABOMU NA RISASI ZA MOTO KUWATAWANYA WAENDESHA PIKIPIKI
habari za kitaifa 8:27 PM
Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia - FFU mkoani Mwanza jana asubuhi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi, risasi za moto pamoja na kutembeza mkong'oto kwa waendesha pikipiki, maarufu kama bodaboda wa jiji la Mwanza ambao walikuwa wakipambana na askari wa kikosi cha usalama barabarani wakipinga kukamatwa kwa pikipiki zao, katika operesheni iliyoendeshwa na jeshi la polisi mkoani humo.
HII NI VIDEO YA ITV IKIRIPOTI....






