REEBOK WAMTOSA RICK ROSS KUTOKANA NA MASHAIRI YAKE YANAYOSIFIA UBAKAJI



Baada ya wiki kadhaa za ukosoaji na maandamano, kampuni ya Reebok imesitisha kufanya kazi na Rick Ross kutokana na mashairi yake yenye kashfa ya kusifia vitendo vya ubakaji.
Wimbo wa Rick Ross unaodaiwa kuwa na mashairi ya kupromote ubakaji unaitwa “U.O.E.N.O.”

Katika maelezo iliyoutumia mtandao wa TMZ, Reebok imesema:

“Reebok holds our partners to a high standard, and we expect them to live up to the values of our brand. Unfortunately, Rick Ross has failed to do so.

While we do not believe that Rick Ross condones sexual assault, we are very disappointed he has yet to display an understanding of the seriousness of this issue or an appropriate level of remorse.”
Rick-Ross-Gets-Dumped-By-Reebok-4

Kwenye “U.O.E.N.O,” Ross anarap: “Put molly all in her champagne, she ain’t even know it. I took her home and I enjoyed that, she ain’t even know it.”

Mapema mwezi huu Ross aliomba radhi ya juu juu kutokana na mashairi yake kwa kutweet: “I dont condone rape. Apologies for the #lyric interpreted as rape. #BOSS”

Baada ya masaa mawili alijaribu kuomba msamaha tena: “Apologies to my many business partners, who would never promote violence against women. @ReebokClassics @ultraviolet”

Posted by Bigie on 1:43 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.