VIDEO YA MWANAUMBE AKIPEWA KICHAPO KIKALI BAADA YA KUCHANGANYA PENZI KWA AKINA DADA WAWILI

Huyu  ni  mwanaume  mcharuko  ambaye  amejikuta  akiambulia  kichapo  cha  mbwa  mwitu  toka  kwa  akina  dada  wawili  ambao  walikuwa  ni  wapenzi  wake  lakini  walikuwa  hawajuani....

Timbwili  lilianza Baada  ya  kujuana  na  kugundua  kwamba  wote wana  SHARE  penzi  la  huyu  jamaa .....

Cha  kufurahisha  ni  kwamba  wao  hawakupigana  wala  kutukanana  na  dbadala  yake  waliungana  na  kumtia  adabu  kaka-mtu

Tukio  zima katika  video
 

Posted by Bigie on 5:36 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.