DIAMOND ATIA AIBU YA MWAKA....KINGERZA CHAMUUMBUA TENA
diamond, habari za kitaifa 1:50 PM
KWANZA NAANZA KWA KUMPONGEZA SANA DIAMOND maana akiwa hajamaliza hata wiki mbili tangu atoke kwenye tour iliyofanikiwa ya Burundi na Congo, Diamond leo amesaini mkataba wa show nyingine kubwa ya kimataifa.
Kupitia Instagram, Diamond ameshare picha inayomuonesha akisaini mkataba wa show huku pembeni akiwepo mtu mwenye asili ya Asia ambaye huenda ndio promoter.
"After I DONE did the Uk,Congo,Burundi…guess where next I’ll be headed.”...
Haijalishi umekosea au upo sahihi, ujumbe umefika kaka!!. Waache wacheke, wataacha tu.
Hata hivyo, si vibaya pia kutumia lugha yetu ya kiswahili maana ujumbe hufika vizuri zaidi....Kingereza lugha ya watu...ni ngumu..!!!