PICHA TOKA MOROGORO AMBAKO MWILI WA ALBERT NGWEA UMEPOKELEWA TAYARI KWA MAZISHI
habari za kitaifa 11:56 AM
Msafara wa kupokea mwili wa msanii marehemu Albert Mangwea ukiwa unaingia morogoro hapa ni eneo la nane nane,Umati mkubwa umejitokeza katika mapokezi hayo jioni ya leo
MAPOKEZI YA MWILI WA NGWEA ENEO LA MAZIMBU ROAD KIHONDA.











