"UMASIKINI WA AKILI YA VIONGOZI NDO SABABU INAYOWAFANYA WAINGIE MIKATABA MIBOVU"...REGINALD MENGI
habari za kitaifa 11:10 PM
Viongozi wa afrika wanastahili kulaumiwa kutokana na rushwa na uhamishwaji haramu wa mitaji unaofanywa na makampuni ya kimataifa, asema mkurugenzi mtendanji wa IPP, Bw. Reginald Mengi
video
video






