"MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR UMEKUFA KISHERIA"....HII NI KAULI YA TUNDU LISSU
habari za kitaifa 2:33 AM
Mbunge wa Singida Mashariki akiongea kwa nini anaamini Muungano wa Tanzania umekufa alipokuwa katika kipindi cha Makutano Magic FM kinachoendeshwa na Fina Mango.






