Hii video ni fundisho tosha kwa USALAMA WA TAIFA nchini Tanzania...N ripoti ya Mohammed Ali dhidi ya Al shabaab

Hii  video  ni  fundisho  tosha  kwa  USALAMA  WA  TAIFA  nchini  Tanzania...N ripoti  ya  Mohammed Ali  dhidi  ya  Al shabaab  ikionesha  wazi  jinsi  waasi  hao  walivyoingiza  silaha  ndani  ya  jengo  la  Westgate  nchini  Kenya....

Tayari  bunge  la  Kenya  limeanza  kulia  na  idara  mbalimbali  za  usalama  hasa  kitengo  cha  NIS.

ITAZAME  VIDEO  HAPO  CHINI:

Posted by Bigie on 7:40 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.