Je, wewe ni MPENDA VIUNO???....Kama jibu ni ndiyo, basi SNURA ameapa KUKUVURUGA kwa pozi la utupu
habari za kitaifa 3:29 AM
Akiongea na mwandishi wetu usiku wa leo , mwanadada snura amesema kuwa mpaka sasa amejipanga vizuri katika suala zima za kukata kiu ya wapenda VIUNO katika ujio wa video yake mpya ya NIMEVURUGWA...
"Nimejipanga kuwavuruga na kukata kiu ya wanaume wote wapenda VIUNO....
"Yaani natamani hata kucheza uchi ili niwafanye wapagawe zaidi.Jumatano ijayo ya tarehe 02/10/ nategemea kuanza shooting ya huo wimbo wangu wa nimevurugwa, mashabiki wangu wakae tayari"..Alisema Snura na kuongeza :
"Natoa nafasi kwa watu mbalimbali watakaopenda kuonekana katika video hiyo ya nimevurugwa wapige simu no 0786621193.au 0713020560."







