Maisha ya DIAMOND ni AIBU tupu...Mdogo wake amuumbua kwa kuanika kila kitu.. BOFYA HAPA UJIONEE
habari za kitaifa 4:35 PM
Mdogo wa Diamond ameamua kumuumbua kaka yake.Kayaanika maisha yake yote tangu akiwa underground hadi star...
Dodo anadai Diamond alikuwa ni muuza supu ya ngozi, mswaki alikuwa anapiga mara moja kwa wiki...
Inadaiwa Diamond alikuwa ni mnywa Gongo, chokoraa na mengine kibao ambayo mdogo wake kaamua kuyaanika....
MSIKILIZE HAPO CHINI...
MSIKILIZE HAPO JUU...NI BALAA TUPU...NDUGU WAMEAMUA KUUMBUANA






