Mama aumbuka baada ya NZI kujazana katika MAKALIO yake wakati akielekea sokoni

 
Mama  mmoja  amejikuta  akiambulia  AIBU  ya  mwaka  baada  ya  NZI kujazana  katika   makalio  yake..

Mama  huyo  ambaye  mpekuzi  wetu  hakuweza   kumtambua jina, alikumbwa  na  aibu  hiyo   hivi  karibuni  wakati  akikatiza  mitaa  kuelekea  sokoni....

Haikuweza  kufahamika  mara  moja  kuhusu  chanzo  cha  NZI  hao  kujazana  katika  makalio  yake.

Posted by Bigie on 8:13 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.