"Baba nilikuona USIKU ukiwa UCHI, nikajifanya nimelala, baadae nikamsikia mama AKIKOROMA"..Mtoto


Haya  ndo  madhara  ya  kulala  na  watoto  chumba  kimoja...
Huyu  ni  binti  wa miaka  2 (  makadirio)  ambaye  ameamua  kuwaumbua  wazazi  wake  kwa  matendo  yao  ya  usiku  ambayo  amekuwa  akiyashuhudia....

Walipoamka  asubuhi, binti  alimfuata  baba  yake  na  kumwambia  kuwa  jana  aliwashuhudia  wakiwa  UCHI...

Baada  ya  kauli  hiyo, baba  alistuka  kidogo  na kutaka  kujua  zaidi  toka  kwa  mtoto  huyo  kwa  kumuuliza  tena  ni  nani  kati  yake  na  mama  yake  alikuwa  UCHI....

Bila  woga  wowote, binti  alimjibu  na  kumwambia, "Nilikuona  wewe  na  mama  mkiwa UCHI"

Baba  akauliza  tena, "Baadae  kilitokea  nini?"
Mtoto  akamijbu: Nilianza  kumsikia  mama  akisema  oooh..oooh...oooohsssssh

Baba  hakuridhika, ikabidi  aulize  tena: Na  mimi  je?
Mtoto: Wewe  ulikuwa  unasema uuuuuh...uuuuuh...uuuushhhhh

NAOMBA  NISIONEKANE  MUONGO, TAZAMA  VIDEO  ILIYOKO  HAPO  CHINI

Posted by Bigie on 8:47 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.