Lulu Michael afunga na kuomba kwa ajili ya hukumu ya Babu Seya ambayo itasikilizwa tena tarehe 30 mwezi huu

 Haya ni maneno ya mwanadada Elizabeth Michael (LULU) aliyoyaandika mtandaoni  akiwaombea kheri Mzee Nguza na mwanawe Papii Kocha wanaosubiria kusikilizwa upya  kwa  kesi  yao  iliyowafanya  wafungwe  kifungo  cha  maisha  jela.
 
“Ninaamini Mungu yupo...anasikia,anaona na ndiye mwenye kuhukumu kwa Haki...!!!! Dua zangu ziko pamoja na Mzee Nguza na Papii Kocha...!

"Hakuna linaloshindikana mbele ya Mwenyezi Mungu...Kama anaweza kutoa Jaribu basi yeye pia ndo mwenye Uwezo wa kufanya Njia ya kutoka ktk jaribu Hilo...Mwenyezi Mungu awasimamie katika rufaa yenu...! AMEN”

Posted by Bigie on 12:02 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.