Wema Sepetu afunguka na kudai kwamba yeye hampendi DIAMOND bali anapenda PESA zake.


Baada  ya  wadau  na  mashabiki  wake  kuubariki  uhusiano  wake  na  Diamond   huku  wakimponda  Penny  na  kudai   amezeeka  na  kwamba  hamfai Diamond, mrembo  huyo  ameamua  kuwajibu  mashabiki  hao  kwa  lugha  ya  fumbo  la  picha.

Jana  mrembo  huyo  alitupia  picha  mtandaoni  kuonyesha   msimamo  wa  fikra  zake  juu  ya  penzi  la  Diamond.

Kwa  mujibu  wa  picha  hiyo,anachokitaka   Wema  Sepetu toka  kwa  Diamond  ni  PESA  na  siyo  ndoa  au  mapenzi  ya  dhati  kama  mashabiki  wake  wanavyodhani.

===Mke  mwema  hutoka  kwa  Mungu  na  mume  mwema  hutoka  Benki====

Posted by Bigie on 1:10 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.