Lowassa Aweka Wazi Atakakozipata Fedha Za Elimu Bure Hadi Chuo Kikuu.


“Usiniulize hela nitapata wapi? Za kutoa elimu bure Tanzania pesa nyingi zipo serikalini.
 
Kama waliopo madarakani sasa wana uwezo wa kuwanunulia wanawake na ndugu zao nyumba za kuishi kwanini tukose za kutolea elimu bure?” Lowassa aliyasema hayo katika mkutano uliofanyika katika uwanja wa TP Sinza jana  jijini Dar.

Posted by Bigie on 9:34 PM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.